Tangu utotoni, nimeipenda lugha ya Kiswahili na uraibu wangu ukawa ni kuandika  hadithi za kubuni. Ile haja ya kuwafanya wengi zaidi waipende lugha na kuandika pia ndio ilinipa msukumo wa kuchapisha hadithi zangu hapa kwenye mtandao. Ni matumaini yangu kwamba ipo siku blogi zilizoandikwa kwa Kiswahili kama hii icapishayo zitaanza kutiliwa umihimu. Ipo siku naamini hata kama sitakuwepo!

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s